Konkmaster
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 360
- 291
Kama Yehova witness hawataki kuchangiwa damu na dini nyingine zitaridhia kuwekewa moyo wa nguruwe?
Utachagua kati ya kufa au uwekewe moyo wa kitimoto . Nakumbuka ule usomi moyo sukuma si mengine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Yehova witness hawataki kuchangiwa damu na dini nyingine zitaridhia kuwekewa moyo wa nguruwe?
"Nyie" mtaishi milele, inshallahNa mtakufa sanaaa
Wanasayansi kutoka Marekani na Ujerumani wamesema chini ya kipindi cha miaka 3, wataanza kutumia Moyo wa Nguruwe kuokoa maisha ya binadamu ambao wanahitaji moyo ili kuishi.
Kuna boss wangu somewhere alikuwa anatumia kiungo kimojawapo changuruwe sikumbuki vizuri kama ni moyo ama kitu kingine. Utaalamu huu ni wa tangia zamani maana hiyo ilikuwa miaka ya mwisho ya 90.
Watalazimishwa kuwekewa moyo wa nguruwe kama ambavyo watu hao hao wanataka Jehovah's witnesses walazimishwe kuwekewa damu!Kama Yehova witness hawataki kuchangiwa damu na dini nyingine zitaridhia kuwekewa moyo wa nguruwe?
Tutawekewa moyo wa nguruwe"Nyie" mtaishi milele, inshallah
Moyo wenye afya utatolewa wakat mnyama huyu anachinjwa kwa ajili ya kitoweo.Je hawaoni kama huyo nguruwe atakayedhurumiwa uhai wake kwaajili ya binadamu hatakuwa ametendewa haki?
Je kule nchi zisizokubaliana na nguruwe haya yatafanikiwaje?
Je hawajaona kuna umuhimu wa kuelekeza nguvu zaidi kutatua tatizo la moyo husika badala ya kutwaa moyo wa kiumbe mwingine?
Hahahaha pua tena we mzee mkavu wewe...korodan sie tunazoWasisahau na mapua ya nguruwe watupandikizie pia, ikibidi hata korodani.
Pesa nying mnooo,na kupata donor chap n shdaHabari njema hii, utasaidia sana maana gharama ya moyo kwenye black market hugharimu kiasi cha $1million.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Wakipandikiza pua tutakuwa kama wazungu.Hahahaha pua tena we mzee mkavu wewe...korodan sie tunazo
HahahaI cant wait nakula kitimoto bar huku nina moyo wa noah[emoji39][emoji39][emoji39]
mkuu samahani bali wanasanyansi wa uingereza sio marekaniWanasayansi kutoka Marekani na Ujerumani wamesema chini ya kipindi cha miaka 3, wataanza kutumia Moyo wa Nguruwe kuokoa maisha ya binadamu ambao wanahitaji moyo ili kuishi.
Majaribio ya kupandikiza moyo wa nguruwe kwa nyani yamefaulu kwa zaidi ya miaka miwili na wanasayansi hao wanaamini utakuwa salama kwa binadamu.
Upandikizaji wa moyo wa nguruwe unaweza kuokoa maisha ya wengi ambao hufariki kila mwaka kutokana na ukosefu wa viungo vya binadamu kwa upandikizaji.
Ndugu zangu waislamu niongeze volume au inatosha???View attachment 1187340
Ahsante nkuu nimekosea.mkuu samahani bali wanasanyansi wa uingereza sio marekani
source:sky news