Upandikizaji wa moyo wa Nguruwe kwa binadamu

Hata mungu alimtoa sadaka yesu ili kumkomboa binadamu
 
Wewe utaishi milele?
Nitafanya jitihada za kimatibabu ikiwemo kuweka huo moyo,na kama kufa basi siku yangu itakuwa imefika....sio kukataa matibabu wakati kiumbe cha faida kipo na kimeumbwa na yeye mwenyewe.
 
Kama Yehova witness hawataki kuchangiwa damu na dini nyingine zitaridhia kuwekewa moyo wa nguruwe?
Nawaza tu,ndio moyo wako unapunguza speed na wewe muislamu,halafu kuna moyo wa Nguruwe umewekwa pembeni unaulizwa vipi tuuweke...!
 
Nitafanya jitihada za kimatibabu ikiwemo kuweka huo moyo,na kama kufa basi siku yangu itakuwa imefika....sio kukataa matibabu wakati kiumbe cha faida kipo na kimeumbwa na yeye mwenyewe.
Duniani ni mapito tu ndugu. Unaweza ukaekewa huo moyo na ukitoka tu spital ukafa kwa chengine.

Sijafanya research juu ya suala la matumizi ya kiungo cha mnyama huyo, nijuacho mimi ni kuwa tumekatazwa kumla.

Lakini ikitokea kuwa hata matumizi ya chochote kutoka kwake ni haram, basi siku ikifika ya kuchagua kuekewa kiungo icho au bora ukate maisha itakuwa ni sawa na kuchagua Akhera au Dunia.

Kwa mtu mwenye imani, Akhera ni chaguo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…