Upandikizaji wa moyo wa Nguruwe kwa binadamu

Unaona sasa!!! nitashangaa sana kusikia mtu anakula nyama ya nguruwe, kama nguruwe ameweza kutatua shida yake, huyo ni ndugu, kwanini mtu umle ndugu yake

Sio nguruwe tu samaki je nae asiliwe kisa ndugu kiungo chake kinatumika alafu wananyama wengi tunaingiliana nao viungo sababu na sisi ni wanyama mana tuna tumia sana viungo vya wanyama wengi kutengeneza vitu vingi mpk tunawala pia
 
Good,kupanga ni kuchagua
 
Kwani nguruwe wanaochinjwa wao hawaondolewi uhai?

Hao ambao imani hairuhusu watasubiri miujiza ya Mungu.
 
Uwekewe moyo was nguruwe siku ukifa ufanywe kitoweo,wadhungu wajanja aisee😁
 
Je, huo moyo wa nguruwe una uwezo sawa kiutendaji na moyo wa binadamu?
Je, binadamu akishapandikizwa huo moyo wa nguruwe atakuwa na uwezo wa kuishi kwa miaka mingapi?
Je, baada ya kupandikizwa moyo wa nguruwe ikatokea binadamu amefikia hatua ya kufa anaweza kupandikizwa tena moyo mwingine ambao ni wa nguruwe?
Je, ni nguruwe wa aina yoyote ambaye moyo wake unaweza kupandikizwa katika mwili wa binadamu?
Nitaendelea kuuliza kadri nitakavyojibiwa
 

Moyo wa nguruwe unatenda sawa sawa na moyo wa binadamu.

Ataishi miaka ileile aliyopangiwa kuishi hapa duniani.


Moyo wa nguruwe unapandikizwa kwa wagonjwa wa moyo tu,binadamu akifikia hatua ya kufa hawezi pandikizwa moyo mwingine kwani anaweza kufa kwa magonjwa mengineyo mbali ya ugonjwa wa moyo......hii ina maana kwamba kama wewe unaumwa magonjwa mengineyo na unakaribia kufa utakufa tu,kubadili moyo hakuzuii binadamu kufa.

Nguruwe watakaopandikizwa moyo hatujafahamu kwa kina ikiwa ni nguruwe yeyote au laaa,hoja na factor za msingi ni baada ya nguruwe husika kuonekana ana moyo wenye afya na usio na tatizo lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…