chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Hiyo kitaalamu huitwa 'inbreeding' kwa wanayama wengine kama mbuzi, ng'ombe waga haina madhara sana, ila kwa nguruwe ni mara 1 tu utaona madhara, let's say katika watoto 10 watakaozaliwa kutakuwa na walemavu kama 4-5, tena ulemavu wa ajabu ajabu, wengine huwa na miguu mitatu, wengine hawana macho nk. So usijaribu kabisa mkuu ni bora ukatoe hela kwingine ili upandisheJe kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
[HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
MkuuHiyo kitaalamu huitwa 'inbreeding' kwa wanayama wengine kama mbuzi, ng'ombe waga haina madhara sana, ila kwa nguruwe ni mara 1 tu utaona madhara, let's say katika watoto 10 watakaozaliwa kutakuwa na walemavu kama 4-5, tena ulemavu wa ajabu ajabu, wengine huwa na miguu mitatu, wengine hawana macho nk. So usijaribu kabisa mkuu ni bora ukatoe hela kwingine ili upandishe
Back cross always Ina madhara maana inaruhusu recessive genes Ku appear au Ku show effect na Mara nyingi sana recessive genes ni lethal yaani zina madharaMkuu
Vipi kuku wakiweka pamoja na kama wameanguliwa na mtetea mmoja??
Hamna madhara??
Madhara waga yapo kwa kila mnyama au ndege sema zinapishana percentage za madhara, kwa kuku ni vigumu sana na nadra kuona madhara ndiomaana huwezi kuskia wataalam wanakataza hii kitu au at mkulima kugundua hii kituMkuu
Vipi kuku wakiweka pamoja na kama wameanguliwa na mtetea mmoja??
Hamna madhara??
Sorry mkuu hebu kajikumbushe tena notice zako...! Kuhusu back crossBack cross always Ina madhara maana inaruhusu recessive genes Ku appear au Ku show effect na Mara nyingi sana recessive genes ni lethal yaani zina madhara
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Wataalam SI wameshaeleza hapo juu?,kwamba haifai kupandisha kwa nguruwe ndugu?,Hili la kupandisha uzao mmoja hopeful wataalam wameshalitolea ufafanuzi
Habari za jioni wakuu, poleni na majukumu na natambja thamani ya michango ya mawazo yenu juu ya hili, naomba kupata uelewa kidogo . Je inawezekana na ni ruksa kumpandisha baba nguruwe na uzao wake(baba kwa mtoto) au mama nguruwe na uzao wake (mama kwa mtoto)? Please msaada tutani