Upandishaji wa nguruwe

Upandishaji wa nguruwe

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?

Msaada kwa anayeelewa.

[HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
 
Haishauriwi hivyo kitaalam kwa wanyama wote ili kupunguza nafasi ya genetic diseases
Kuzaa, watazaa lakini not recommended
 
Ni kama wewe ukamtie Dada ako? unamaanisha hivyo ama!??
 
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?

Msaada kwa anayeelewa.

[HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
Hiyo kitaalamu huitwa 'inbreeding' kwa wanayama wengine kama mbuzi, ng'ombe waga haina madhara sana, ila kwa nguruwe ni mara 1 tu utaona madhara, let's say katika watoto 10 watakaozaliwa kutakuwa na walemavu kama 4-5, tena ulemavu wa ajabu ajabu, wengine huwa na miguu mitatu, wengine hawana macho nk. So usijaribu kabisa mkuu ni bora ukatoe hela kwingine ili upandishe
 
Mkuu

Vipi kuku wakiweka pamoja na kama wameanguliwa na mtetea mmoja??

Hamna madhara??
 
Back cross always Ina madhara maana inaruhusu recessive genes Ku appear au Ku show effect na Mara nyingi sana recessive genes ni lethal yaani zina madhara

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Madhara waga yapo kwa kila mnyama au ndege sema zinapishana percentage za madhara, kwa kuku ni vigumu sana na nadra kuona madhara ndiomaana huwezi kuskia wataalam wanakataza hii kitu au at mkulima kugundua hii kitu

ila tukirudi kwa bwana mkuu kitimoto wao percentage ya kuonesha madhara hasi ni mkubwa sana kutokana na utofauti wa vinasaba vyao.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Back cross always Ina madhara maana inaruhusu recessive genes Ku appear au Ku show effect na Mara nyingi sana recessive genes ni lethal yaani zina madhara

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Sorry mkuu hebu kajikumbushe tena notice zako...! Kuhusu back cross

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Hili la kupandisha uzao mmoja hopeful wataalam wameshalitolea ufafanuzi

Habari za jioni wakuu, poleni na majukumu na natambja thamani ya michango ya mawazo yenu juu ya hili, naomba kupata uelewa kidogo . Je inawezekana na ni ruksa kumpandisha baba nguruwe na uzao wake(baba kwa mtoto) au mama nguruwe na uzao wake (mama kwa mtoto)? Please msaada tutani
 
Wataalam SI wameshaeleza hapo juu?,kwamba haifai kupandisha kwa nguruwe ndugu?,

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom