Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Si ndio upelelezi wenyewe ama hujielewi? Ni kweli wanatafuta ushahidiKuna kitu kinatafutwa, ngoja tuone ila sijui kwanini nina mashaka sana
Kwa kupenda sifa kwetu ukute hata ushahidi wenyewe wote ushaharibiwa. Forensic wakija kuchunguza itakutwa midole ya kina Sirro kwenye nyumba yote.Wacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.
Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi.
Wameminywa mbupu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Askari wakiguswa wao huwa wanakuwa serious, nikikumbuka case ya libetatus barlow wa mwanza napata picha
Waliotengeneza ile kadi walikosea si unajua digital cards za chadema zimeanza 2021 wao wameweka 2009, raia wamewaomba warudi tena ku edit vizuriUtasikia Gaidi Mbowe ana connection na Hamza wakati kumbe kada wa ccm
ishakuwa hooked , sasa jaribu kuipiga uunganishweHyo namba natamani nijaribu kuipiga🤔🤔🤔
Halafu Mbowe ndio gaidi. Pumbavu.
Chadema chukua tahadhali wasije wakasema tumekuta barua, nyaraka etc etc toka kwa Mbowe/wale vijana maana hawa ni manyangau wakubwa. Kibatala take note of that, hii kitu inaweza ikawa imepikwa. Mara Sabaya alivamiwa na Mbowe, mara diary ya Kigogo, take care pleaseHii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo .
Ngoja tuendelee kutega sikio
View attachment 1908119