Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Wakifanya hivyo itakuwa ni fedheha kwao, nobody atawaamini, haiwezi kutokea kwa utawala huu, enzi za akina Musiba na Bashite may beWasije tu na ushahidi FEKI eti walikuta huyo bazazi kuta zake zimejaa picha za Mbowe na alikuwa ana mawasiliano naye. 😩😩😩