Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Kumbe ni mwanachadema

USSRView attachment 1908183
2897612_gaidi (1).jpeg
2897668_IMG-20210825-WA0101 (1).jpg
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .

Ngoja tuendelee kutega sikio

View attachment 1908119
Hahahaha sasa hao jamaa Ni wajinga wabaki hapo??
 
Huyu Hamza ni nini kilimpata?? Mbona picha zake na detail zake anaonekana ni jamaa poa tu asieshabihiana na mambo ya kigaidi na ule ubonge si rahisi mtu kudhani anaweza kuua hata mende (kwa jinsi wati wanene wanavochuliwa na jamii kwa sasa) .

Sasa huyu mwamba kajazwa madudu gani huko kichwani hadi aanze kuwachapa shaba askari, kuwapora bunduki na kushambuliana nao. Na jamaa alikua anakitafuta kifo tu na alilijua hilo wala hakua na wasiwasi, nini kalishwa huyu jamaa.
Siku zote uonevu ndiyo unaozaa ugaidi.
 
Ni kwa sababu tumefanya ili uitwe gaidi lazima uwe muislamu, mfano matukio kama hayo ya watu kufanya mashambulizi kwa silaha hufanyika sana huko Marekani ila kwa sababu wafanyaji sio waislamu basi hayo matukio hayahusishwi na ugaidi na hao wafanyaji hawaitwi magaidi.

Gaidi ni mtu yeyote ambaye anafanya mauaji kwa imani zake ziwe za kisiasa au dini. Huyu sio mwizi ni gaidi tupende tusipende.
 
Back
Top Bottom