UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwamba hao waliyouliwa ndio waliyohusika na wizi wa kura?Kama ni kweli huyu gaidi amefanikiwa kuuwa hawa wasaidizi wa wizi wa kura watatu kama inavyosemekana ni jambo la kheri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hao waliyouliwa ndio waliyohusika na wizi wa kura?Kama ni kweli huyu gaidi amefanikiwa kuuwa hawa wasaidizi wa wizi wa kura watatu kama inavyosemekana ni jambo la kheri sana.
[emoji16][emoji16][emoji16] hujakoseaView attachment 1908146
Kwa akili mbovu ya Polisi wetu, sintashangaa kusikia watu wote hawa waliopiga picha na huyu jamaa wamekamatwa wako ndani "kuisaidia Polisi"
Hahahaha sasa hao jamaa Ni wajinga wabaki hapo??Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .
Ngoja tuendelee kutega sikio
View attachment 1908119
Hahahaha Hahahaha umemuweza
Mmeshaingia kazini magaidi nyinyi? Mtu wenu huyo kazi mliomtuma amefanya vyema
Kwamba hao waliyouliwa ndio waliyohusika na wizi wa kura?
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu umejuaje?Kwa jinsi hao polisi wana mapepe leo hapo Dar watakamata vijana hovyo.
Umesahau kidogo...passport ipo upande
Mkuu una hasira, zipunguze kidogo mzee, yanaongeleka haya hahaha
Hata Hitler alikuwa anaitwa "Soud Adolf Hitler"Ugaidi na Uislamu, why?
Huyo jamaa bila shaka ni Muislamu. Uislamu una nini kilichojificha???
Siku zote uonevu ndiyo unaozaa ugaidi.Huyu Hamza ni nini kilimpata?? Mbona picha zake na detail zake anaonekana ni jamaa poa tu asieshabihiana na mambo ya kigaidi na ule ubonge si rahisi mtu kudhani anaweza kuua hata mende (kwa jinsi wati wanene wanavochuliwa na jamii kwa sasa) .
Sasa huyu mwamba kajazwa madudu gani huko kichwani hadi aanze kuwachapa shaba askari, kuwapora bunduki na kushambuliana nao. Na jamaa alikua anakitafuta kifo tu na alilijua hilo wala hakua na wasiwasi, nini kalishwa huyu jamaa.
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .
Ngoja tuendelee kutega sikio
View attachment 1908119
Kwahiyo unataka kusemaje?
Ni kwa sababu tumefanya ili uitwe gaidi lazima uwe muislamu, mfano matukio kama hayo ya watu kufanya mashambulizi kwa silaha hufanyika sana huko Marekani ila kwa sababu wafanyaji sio waislamu basi hayo matukio hayahusishwi na ugaidi na hao wafanyaji hawaitwi magaidi.