Kwani haiwezekani kocha msaidizi akashiriki ,kocha mkuu asishiriki?Anafungiwa kocha msaidizi na siyo kocha mkuu kwa sababu gani?
Acha kuwa na akili ya kushikiriwa wewe, Haya inakuwaje timu zote wafungiwe makocha wasaidizi tu!!!! Hakuna timu ambayo kocha mkuu alishiriki????? Maamuzi ya kijanga haya.Kwani haiwezekani kocha msaidizi akashiriki ,kocha mkuu asishiriki?
Imepanda nini?? Labda lile ghorofa la Ngiloi maili sita!! Aliepanda ni Mbao FC Ya Mwanza!! Panone wajilaumu wenyewePanone imepanda !Kilimanjaro hoyee
Wasiupeleke ushahidi wao kwenye kamati ya nidhamu waje kulia lia sa hivi!! Ingawa kuna asilimia zaid ya 70 viongozi wa TFF kuhusika sababu Juhudi za Geita kubebwa zilionekana mwaanzo kabisa mwa LigiGeita Gold wasema wapo tayari kupeleka Ushahidi Wa Audio viongoz wa tff wakiomba rushwa ili wasaidiwe katika mipango ya kusaidiwa.
Akili za kushikiwa ndio zikoje ?Acha kuwa na akili ya kushikiriwa wewe, Haya inakuwaje timu zote wafungiwe makocha wasaidizi tu!!!! Hakuna timu ambayo kocha mkuu alishiriki????? Maamuzi ya kijanga haya.
Hakuna kitu kama hicho wewe, Labda wewe ni Seleman Matola ndio maana unapinga hili lakin kwa hali ya kawaida lazima makocha hao wote wamehusika katika hiyo mipango.Akili za kushikiwa ndio zikoje ?
Match fixation watu wanakaa wanapanga so huamini kama wanaweza wakaamua kuwashirikisha makocha wasaidizi tu ?
Hakuna kitu kama hicho wewe, Labda wewe ni Seleman Matola ndio maana unapinga hili lakin kwa hali ya kawaida lazima makocha hao wote wamehusika katika hiyo mipango.Akili za kushikiwa ndio zikoje ?
Match fixation watu wanakaa wanapanga so huamini kama wanaweza wakaamua kuwashirikisha makocha wasaidizi tu ?
Kwa akili yako ya kawaida ndio haiwezekani,wanapopanga hayo mambo sio watu wote wanaoshirikishwa.Fuatilia scandal ya Calciopoli kule ItalyHakuna kitu kama hicho wewe, Labda wewe ni Seleman Matola ndio maana unapinga hili lakin kwa hali ya kawaida lazima makocha hao wote wamehusika katika hiyo mipango.
kichekesho ati.............Anafungiwa kocha msaidizi na siyo kocha mkuu kwa sababu gani?
wamekurupuka hapo..........Milion 10 na kufungiwa maisha! Nilipe ili nipate nini sasa? Yaani unahukumiwa adhabu ya kifo na faini juu?