mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Muda mwingine tafakari mambo kabla hujacomment, unataka kuniambia timu zote nne makocha wakuu hawakujua hii michongo!!! Haya kama Kocha wa Kanembwa hakujua, Je, na yule wa Geita nae hakujua kweli!!! Kwanza sitaki kuamini hicho kitu kabisa, Hii issue kama asingalikuwa matola ndio adhabu ingalitolewa kwa usawa.Kwa akili yako ya kawaida ndio haiwezekani,wanapopanga hayo mambo sio watu wote wanaoshirikishwa.Fuatilia scandal ya Calciopoli kule Italy