Upangaji matokeo Daraja la Kwanza : Maamuzi ni haya

Kwa akili yako ya kawaida ndio haiwezekani,wanapopanga hayo mambo sio watu wote wanaoshirikishwa.Fuatilia scandal ya Calciopoli kule Italy
Muda mwingine tafakari mambo kabla hujacomment, unataka kuniambia timu zote nne makocha wakuu hawakujua hii michongo!!! Haya kama Kocha wa Kanembwa hakujua, Je, na yule wa Geita nae hakujua kweli!!! Kwanza sitaki kuamini hicho kitu kabisa, Hii issue kama asingalikuwa matola ndio adhabu ingalitolewa kwa usawa.
 
Ishu sio kujua ishu umehusikaje kupanga matokeo
 
Adhabu ya kifo na faini,Silipi alafu wanihukumu tena maisha iwe double maisha?Kha eti mil 10 na kufungiwa maisha!Huyu jamaa wa TFF ni donda ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…