Upangaji wa makundi klabu bingwa na kombe la shirikisho Afrika muda huu

Upangaji wa makundi klabu bingwa na kombe la shirikisho Afrika muda huu

Headcorner

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
205
Reaction score
292
Upangaji wa makundi unaendelea muda wakati tayari kombe la shirikisho wawakilishi wa Tanzania timu ya Namungo imedondokea kwa timu ya CD1 de Agosto ya Angola
 
Simba ijipange maana As Vita hawatakubali kirahisi wapitozee tena.
 
Kazi ipo
 

Attachments

  • IMG-20210108-WA0078.jpg
    IMG-20210108-WA0078.jpg
    50.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom