Ndugu wana jf, uamuzi uliochukuliwa na selikar wa kupanga matokeo ya kidato cha nne ni mzur na una manufaa kwa nchi na raia wake,wewe unaepinga nikwamba ujui machungu wanayo yapata wazaz na wanafunz ambao wanategemea elim kuwa mkomboz wa maisha yao. ujue kuna watu ambao mpaka sasa wako dilema hawaijui kesho yao kutokana na mfumo mbovu walioutumia wa upangaji wa matokeo ya kidato cha nne ambao uko tofauti na wa miaka iliyopita yaan tangu 1973.mungu ibarik Tanzania,mungu ibarik Afrika