Upangaji wa matokeo ya kidato cha nne 2012.

Upangaji wa matokeo ya kidato cha nne 2012.

kutegemea kwao elimu isiwe sababu ya kuwapa elimu ya kiwango cha chini....jipange unapoleta maada
Ndugu wana jf, uamuzi uliochukuliwa na selikar wa kupanga matokeo ya kidato cha nne ni mzur na una manufaa kwa nchi na raia wake,wewe unaepinga nikwamba ujui machungu wanayo yapata wazaz na wanafunz ambao wanategemea elim kuwa mkomboz wa maisha yao. ujue kuna watu ambao mpaka sasa wako dilema hawaijui kesho yao kutokana na mfumo mbovu walioutumia wa upangaji wa matokeo ya kidato cha nne ambao uko tofauti na wa miaka iliyopita yaan tangu 1973.mungu ibarik Tanzania,mungu ibarik Afrika
 
uandikayo ni sawa,je wapasishwe hata kama hawana vigezo?me nimesimamia mtihan mwaka jana shule fulan hapa dar,wanafunz ukishagawa karatasa wanalala hadi mwisho,hawa nao unawazungumziaje?
Watakua wamelala wakati wa mtihani kwa hiyo hawana alama yoyote. Hata kama kiwango cha alama za ufaulu kikishushwa bado watakua na div 'o'... Amen.
 
teh! teh! teh! teh!!!!!!!!........... kumbe kuna watu niwagum kuelewa eeeeee???? achen ujinga huooo!!!!!! yaan mnao jifanya mangaliba mnataka nyie muingie a level kwa wastan wa 41-60 katika kila somo afu wenzenu waingie a level kwa wastan wa 45-65 kila somo ivi mna akili ninyi tena mtubu vilaza ninyi.na yakiachwa mtatukanwa mbaka mnukie matusi ebooooo!!!!?
 
Join Date : 7th May 2013
Posts : 5
Rep Power : 303
Likes Received0
Likes Given0 Nilitaka niulize uhisiano wako na kawambwa ila bas tu
 
watu kufaulu mpk wabebwe na subiri matokeo mapya yatoke mwenye 2 umkute na 4 ndo utajua uchakachuaji unavyofanyika
 
Back
Top Bottom