Ndugu wana jf, uamuzi
uliochukuliwa na selikar wa kupanga matokeo ya kidato cha nne ni mzur na
una manufaa kwa nchi na raia wake,wewe unaepinga nikwamba ujui machungu
wanayo yapata wazaz na wanafunz ambao wanategemea elim kuwa mkomboz wa
maisha yao. ujue kuna watu ambao mpaka sasa wako dilema hawaijui kesho
yao kutokana na mfumo mbovu walioutumia wa upangaji wa matokeo ya kidato
cha nne ambao uko tofauti na wa miaka iliyopita yaan tangu 1973.mungu
ibarik Tanzania,mungu ibarik Afrika
Ndugu wana jf, uamuzi uliochukuliwa na selikar wa kupanga matokeo ya kidato cha nne ni mzur na una manufaa kwa nchi na raia wake,wewe unaepinga nikwamba ujui machungu wanayo yapata wazaz na wanafunz ambao wanategemea elim kuwa mkomboz wa maisha yao. ujue kuna watu ambao mpaka sasa wako dilema hawaijui kesho yao kutokana na mfumo mbovu walioutumia wa upangaji wa matokeo ya kidato cha nne ambao uko tofauti na wa miaka iliyopita yaan tangu 1973.mungu ibarik Tanzania,mungu ibarik Afrika
kakojoe ulale kama akili yako imeishia hapo kufikiri unawaza nini kuhusu hili
mkuu mbona girls watupu hao bila shaka watakuwa wanafunzi wa marian's girls au feza girlskakojoe ulale kama akili yako imeishia hapo kufikiri unawaza nini kuhusu hili
Ndugu wana jf, uamuzi uliochukuliwa na selikar wa kupanga matokeo ya kidato cha nne ni mzur na una manufaa kwa nchi na raia wake,wewe unaepinga nikwamba ujui machungu wanayo yapata wazaz na wanafunz ambao wanategemea elim kuwa mkomboz wa maisha yao. ujue kuna watu ambao mpaka sasa wako dilema hawaijui kesho yao kutokana na mfumo mbovu walioutumia wa upangaji wa matokeo ya kidato cha nne ambao uko tofauti na wa miaka iliyopita yaan tangu 1973.mungu ibarik Tanzania,mungu ibarik Afrika
mkuu mbona girls watupu hao bila shaka watakuwa wanafunzi wa marian's girls au feza girls
Ni kilaza tu anayeweza kuongea utumbo kama huu hicho cheti kitakubaliwa na mwajiri gani wakati itaeleweka vyeti vya elimu ya Tanzania ni vya kuchonga? Yani inabidi akuulize kama chet ni cha standardization au halisi? Na kuna haja gani ya kuwa na waalimu wazuri wakati matokeo yakitoka tunaweza kuyawekea viwango vya kuyafanya yawe mazuri? kuna haja gani kugharamia mifumo au maslahi ya walimu wakati ufaulu utapangwa mezani? Na je hilo sio tangazo tosha kwamba matokeo hayawezi kutangazwa mpaka wanasiasa wayaangalie na kuongezeaongezea ili yawape ujiko? huo ndio mwanzo na mwisho wa kifo cha elimu ya Tanzania. Ninachoona mimi matokeo yangeachwa kama yalivyo ila watangaziwe wale wanaoona matokeo yao sio mazuri wajiandikishe watungiwe supplementary examinations; wakipata score nzuri kuliko za awali wachukue hizo wakipata chini ya pale waendelee kudumu na matokea yao ya mwanzo.Ndugu wana jf, uamuzi uliochukuliwa na selikar wa kupanga matokeo ya kidato cha nne ni mzur na una manufaa kwa nchi na raia wake,wewe unaepinga nikwamba ujui machungu wanayo yapata wazaz na wanafunz ambao wanategemea elim kuwa mkomboz wa maisha yao. ujue kuna watu ambao mpaka sasa wako dilema hawaijui kesho yao kutokana na mfumo mbovu walioutumia wa upangaji wa matokeo ya kidato cha nne ambao uko tofauti na wa miaka iliyopita yaan tangu 1973.mungu ibarik Tanzania,mungu ibarik Afrika
uandikayo ni sawa,je wapasishwe hata kama hawana vigezo?me nimesimamia mtihan mwaka jana shule fulan hapa dar,wanafunz ukishagawa karatasa wanalala hadi mwisho,hawa nao unawazungumziaje?
mkuu mbona girls watupu hao bila shaka watakuwa wanafunzi wa marian's girls au feza girls
sizungumzii watoto wasiojua umuhim wa elim bali namaanisha kuna watoto wana uwezo mzur tena sanaa! wamepata 4 mfano 4 za 26 na 27 afu wametoka familia za kimaskin na wanapenda shule ivi uon kuwa wakipanga kufuata mfumo wa kale hao wanaweza kufanya vizur?
Ni kilaza tu anayeweza kuongea utumbo kama huu hicho cheti kitakubaliwa na mwajiri gani wakati itaeleweka vyeti vya elimu ya Tanzania ni vya kuchonga? Yani inabidi akuulize kama chet ni cha standardization au halisi? Na kuna haja gani ya kuwa na waalimu wazuri wakati matokeo yakitoka tunaweza kuyawekea viwango vya kuyafanya yawe mazuri? kuna haja gani kugharamia mifumo au maslahi ya walimu wakati ufaulu utapangwa mezani? Na je hilo sio tangazo tosha kwamba matokeo hayawezi kutangazwa mpaka wanasiasa wayaangalie na kuongezeaongezea ili yawape ujiko? huo ndio mwanzo na mwisho wa kifo cha elimu ya Tanzania. Ninachoona mimi matokeo yangeachwa kama yalivyo ila watangaziwe wale wanaoona matokeo yao sio mazuri wajiandikishe watungiwe supplementary examinations; wakipata score nzuri kuliko za awali wachukue hizo wakipata chini ya pale waendelee kudumu na matokea yao ya mwanzo.
Umemaliza? Wewe utakuwa umetumwa na kawambwa.
watu wote wakiwa na mawazo kama haya elimu yetu itaenda mbali