Ndugu wana jf, uamuzi uliochukuliwa na selikar wa kupanga matokeo ya kidato cha nne ni mzur na una manufaa kwa nchi na raia wake,wewe unaepinga nikwamba ujui machungu wanayo yapata wazaz na wanafunz ambao wanategemea elim kuwa mkomboz wa maisha yao. ujue kuna watu ambao mpaka sasa wako dilema hawaijui kesho yao kutokana na mfumo mbovu walioutumia wa upangaji wa matokeo ya kidato cha nne ambao uko tofauti na wa miaka iliyopita yaan tangu 1973.mungu ibarik Tanzania,mungu ibarik Afrika
Watakua wamelala wakati wa mtihani kwa hiyo hawana alama yoyote. Hata kama kiwango cha alama za ufaulu kikishushwa bado watakua na div 'o'... Amen.uandikayo ni sawa,je wapasishwe hata kama hawana vigezo?me nimesimamia mtihan mwaka jana shule fulan hapa dar,wanafunz ukishagawa karatasa wanalala hadi mwisho,hawa nao unawazungumziaje?
matokeo wik hi kwa wale wa season 2 results