NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Kundi A: Azam, Malindi na Jamhuri.
Kundi B: Yanga, Singida BS na KMKM.
Kundi C: Simba, Mlandege na KVZ.
Kundi D: Namungo, Aigle Noir na Chipkizi.
kwahiyo hii mapinduzi cup wameona yanga ndo wa kumweka kundi moja na vidume wenzie kwenye kundi B. ?
kundi B ni kundi pekee ambalo kuna timu mbili za ligi ya bara na mabingwa wa lihi ya bara na zanzibar, Yanga ni mabingwa wa ligi kuu bara, KMKM ni mabingwa wa ligi kuu ya Zanzibar na Singida united wamo 4 bora kwenye ligi kuu bara.
hawaishii hapo tu, bingwa wa kundi B anaenda kucheza na bingwa wa Kundi A ambae si ajabu atakuwa ni Azam fc.
Tukija kwa upande wa watani waliomo Kundi C, hali ni tofauti, wamepangwa na timu zote za zanzibar, wakipita wanaenda kucheza nusu fainali na bingwa wa kundi D na Namungo ambao nao wamepangiwa timu za kujipigia,
Simba anaenda kucheza nusu fainali na Namungo, timu ambayo haimo hata 4 bora kwenye ligi kuu, ni dhahiri kabisa simba anamfunga na kutinga fainali kirahisi