Upangaji wa mechi za Mapinduzi Cup ni mbeleko za wazi kabisa kuisafishia njia Simba ifike fainali kwa wepesi, hakuna usawa!

Upangaji wa mechi za Mapinduzi Cup ni mbeleko za wazi kabisa kuisafishia njia Simba ifike fainali kwa wepesi, hakuna usawa!

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Kundi A: Azam, Malindi na Jamhuri.
Kundi B: Yanga, Singida BS na KMKM.
Kundi C: Simba, Mlandege na KVZ.
Kundi D: Namungo, Aigle Noir na Chipkizi.

kwahiyo hii mapinduzi cup wameona yanga ndo wa kumweka kundi moja na vidume wenzie kwenye kundi B. ?

kundi B ni kundi pekee ambalo kuna timu mbili za ligi ya bara na mabingwa wa lihi ya bara na zanzibar, Yanga ni mabingwa wa ligi kuu bara, KMKM ni mabingwa wa ligi kuu ya Zanzibar na Singida united wamo 4 bora kwenye ligi kuu bara.

hawaishii hapo tu, bingwa wa kundi B anaenda kucheza na bingwa wa Kundi A ambae si ajabu atakuwa ni Azam fc.

Tukija kwa upande wa watani waliomo Kundi C, hali ni tofauti, wamepangwa na timu zote za zanzibar, wakipita wanaenda kucheza nusu fainali na bingwa wa kundi D na Namungo ambao nao wamepangiwa timu za kujipigia,

Simba anaenda kucheza nusu fainali na Namungo, timu ambayo haimo hata 4 bora kwenye ligi kuu, ni dhahiri kabisa simba anamfunga na kutinga fainali kirahisi
 
Ukiona umepangiwa na timu unazodhania ni kubwa tafsiri yake wewe ni low level

Ungejua hata CAF hutumia mfumo huo kupanga timu kutafuta hatua za makundi wala usingejaribu kuleta malalamiko yako hapa
Kundi la Yanga kila timu inaleta competition, KMKM mabingwa wa ligi zenji na singida united wapo nafasi ya nne ligi kuu.

hilo kundi la simba kuna competition ipi ?
 
Kundi la Yanga kila timu inaleta competition, KMKM mabingwa wa ligi zenji na singida united wapo nafasi ya nne ligi kuu.

hilo kundi la simba kuna competition ipi ?
Kwasababu Simba ni timu kubwa so kisheria haiwezi kupangwa na timu ndogo kwenye hatua za awali

Unafatilia kanuni za CAF?

Lini uliona Al Ahly kapangwa na Zamaleki au Wydad kwenye hatua za mwanzo?
 
Kwasababu Simba ni timu kubwa so kisheria haiwezi kupangwa na timu ndogo kwenye hatua za awali

Unafatilia kanuni za CAF?

Lini uliona Al Ahly kapangwa na Zamaleki au Wydad kwenye hatua za mwanzo?
Na ndio kombe lenu pekee, lazima mlindwe!
 
Kundi la Yanga kila timu inaleta competition, KMKM mabingwa wa ligi zenji na singida united wapo nafasi ya nne ligi kuu.

hilo kundi la simba kuna competition ipi ?
Nyie si mabingwa??? Sasa mnalia lia nini?
 
Ningekuwa kocha wa simba, ningepanga kikosi dhaifu nitolewe
 
Back
Top Bottom