Upangaji wa mechi za Mapinduzi Cup ni mbeleko za wazi kabisa kuisafishia njia Simba ifike fainali kwa wepesi, hakuna usawa!

Kwasababu Simba ni timu kubwa so kisheria haiwezi kupangwa na timu ndogo kwenye hatua za awali

Unafatilia kanuni za CAF?

Lini uliona Al Ahly kapangwa na Zamaleki au Wydad kwenye hatua za mwanzo?
Kweni hayo ni mashindano ya CAF?
 
Wasi wasi umeanza kwa kuwa huko hakuna tigo pesa?

Si mtawanunua baadhi ya wachezaji wa wapinzani wenu?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Usiumize kichwa hilo kombe lina nuksi ukichukua tu basi ujiandae kwa lolote
 
Kwani hujui kuwa kundi gumu ni hilo la simba,hao singida si yanga b au hujui
 
Kundi la Yanga kila timu inaleta competition, KMKM mabingwa wa ligi zenji na singida united wapo nafasi ya nne ligi kuu.

hilo kundi la simba kuna competition ipi ?

Singida big stars ni Yanga B mbona mzito sana kuelewa mkuu?[emoji276]
 
Kwa ule mpira wa Simba, hayo makundi yote hapo juu ni mepesi kwake, labda mkaitafutie timu nyingine nje ya hayo makundi.
Mkuu huyo Simba anaongoza kwa gap la point ngapi huko BARA?
 
Haya waambie uto wenzako Mlandege alikufanya nini mwaka jana
 
Utopolo hata baadae itaendelea kuwa na wazee wa hovyo tu[emoji23][emoji23][emoji23]hivi fikiria kutakuwa na mzee haji manara dah

Hivi mmepanda mtumbwi au boti za Azam?????

Waambieni wazee wenu wa hovyo baniani mbaya kiatu chake dawa...


Hatuchejyi ,hatuchejyi
 
Kundi la Yanga kila timu inaleta competition, KMKM mabingwa wa ligi zenji na singida united wapo nafasi ya nne ligi kuu.
hilo kundi la simba kuna competition ipi ?
Mkuu, hata Mapinduzi Cup nayo ni ya kuitolea macho kiasi cha kulalamikia makundi?
 
Singida ni Yanga B kwani mna wasi wasi gani,umesahau mlivyompatia Mayele Hat trick
 
Hii michuano natamani Yanga 50% wachezeshe vijana.
 
Kwa ule mpira wa Simba, hayo makundi yote hapo juu ni mepesi kwake, labda mkaitafutie timu nyingine nje ya hayo makundi.
Aisee!! At the end of the day, Mlandege wakala kichwa. 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…