kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Hivi jamani kuna mtu anaelewa kitu gani kinaendelea upanuzi wa barabara kati ya kawawa road na mwenge atueleweshe.
Hapo kinachoonekana kila siku ni vurugu tu mtu hupati picha kitu gani kinafanyika. Mara magari yahamishwe huku mara kule huku siku zinaenda mtu hupati picha kitu gani wanafanya.
Unakua na mashaka kama kweli kuna maelewano ya wahandisi au wakandarasi. Ingekua vizuri Rais atembelee hapo nina hakika moto utawaka.