Unataka uelewe niniHivi jamani kuna mtu anaelewa kitu gani kinaendelea upanuzi wa barabara kati ya kawawa road na mwenge atueleweshe. Hapo kinachoonekana kila siku ni vurugu tu mtu hupati picha kitu gani kinafanyika. Mara magari yahamishwe huku mara kule huku siku zinaenda mtu hupati picha kitu gani wanafanya. Unakua na mashaka kama kweli kuna maelewano wa wahandisi au wakandarasi. Ingekua vizuri rais atembelee hapo nina hakika moto utawaka.
BARABARA ya bagamoyo ROAD????Hivi jamani kuna mtu anaelewa kitu gani kinaendelea upanuzi wa barabara kati ya kawawa road na mwenge atueleweshe. Hapo kinachoonekana kila siku ni vurugu tu mtu hupati picha kitu gani kinafanyika. Mara magari yahamishwe huku mara kule huku siku zinaenda mtu hupati picha kitu gani wanafanya. Unakua na mashaka kama kweli kuna maelewano wa wahandisi au wakandarasi. Ingekua vizuri rais atembelee hapo nina hakika moto utawaka.
Umeelewa, acha usumbufu alaaBARABARA ya bagamoyo ROAD????
HOW???
Da kilwa road watu wansparamia nawe ya pembeni kila siku ,foreni na jamaa wako slow kweli ni mateso sanaVurugu la barabara IPO huku kilwa road
Kwako we we akifurahi ******** tosha tu daah kweli ujinga mzigoWakati anaenda kufungua daraja la Kijazi mh Rais Magufuli alipita barabara hiyo na alifurahishwa na hatua iliyofikiwa!
Barabara zinatengenezwa pembeni katikati itakuja kupita barabara ya mwendokasi kuanzia morocco mpaka tegeta hukoHivi jamani kuna mtu anaelewa kitu gani kinaendelea upanuzi wa barabara kati ya kawawa road na mwenge atueleweshe.
Hapo kinachoonekana kila siku ni vurugu tu mtu hupati picha kitu gani kinafanyika. Mara magari yahamishwe huku mara kule huku siku zinaenda mtu hupati picha kitu gani wanafanya.
Unakua na mashaka kama kweli kuna maelewano wa wahandisi au wakandarasi. Ingekua vizuri Rais atembelee hapo nina hakika moto utawaka.
Du...mkuu una kichwa kizito sana.Hivi jamani kuna mtu anaelewa kitu gani kinaendelea upanuzi wa barabara kati ya kawawa road na mwenge atueleweshe.
Hapo kinachoonekana kila siku ni vurugu tu mtu hupati picha kitu gani kinafanyika. Mara magari yahamishwe huku mara kule huku siku zinaenda mtu hupati picha kitu gani wanafanya.
Unakua na mashaka kama kweli kuna maelewano wa wahandisi au wakandarasi. Ingekua vizuri Rais atembelee hapo nina hakika moto utawaka.
Hapo zinajengwa njia nne, mbili kwenda, mbili kurudi. Then katikati inaachwa nafasi kwa ajili ya ujenzi wa mwendo kasi phase itakayofuta baada ya ile ya gongo la mboto kukamilika.Nasikia ujenzi wa njia 8 lakini sizielewi, kuna mwenye ramani ya hii barabara atusaidie
Mkuu unastahili pongezi kwa uchambuzi mzuri wa taarifa!Hela hakuna. Hela zote zinapelekwa Chato kujenga uzio kuizunguka Chato yote.
Mitano tena!
Sasa mbona wamekazana njia 8, mimi nikawa nashangaa mbona sizioni.Hapo zinajengwa njia nne, mbili kwenda, mbili kurudi. Then katikati inaachwa nafasi kwa ajili ya ujenzi wa mwendo kasi phase itakayofuta baada ya ile ya gongo la mboto kukamilika.
Utaonaje sasa kama echa ndio zinatimua vileSasa mbona wamekazana njia 8, mimi nikawa nashangaa mbona sizioni.