Hili ni tatizo sema jiji linahitaji miundombinu imara kuweza kukidhi mahitaji ya wakazi wa jiji ila ni aibu tupu.WAtu wajiji wanapaswa jiuzulu
Mwanza ni kama hatulipagi kodi miaka ypte, ni kama wananchi hatupo vile
Maji, Barabara na umeme bado ni changamoto
Mambo ya aibu haya hivi jiji la Mwanza ni la kukabiliwa na shida ya maji??!!!Yaani ni ujingaujinga tuView attachment 3609829
Wafanye ivo itakua jambo zuri kiukweli barabara za kuingia jijini zinapaswa kuwa pana zote.Masterplan inataka dual carriageway mpaka Nyanguge
Mji unakua kwa kasi ila miundombinu iko vile vile hilo ni tatizo sijui kwanini hawalioni.Huenda! Kiji linapanuka kwa kasi na wao hawaoni! Watashtukia tu tumezidiwa wakati huduma ziko palepale!
Na ziwa liko mjini tu! Ujingaujinga acha tu!Mambo ya aibu haya hivi jiji la Mwanza ni la kukabiliwa na shida ya maji??!!!