Upanuzi wa Ubungo na TAZARA sasa Ilala na Mbagala wameondoka bila malalamiko, kwanini Kariakoo na Posta

Upanuzi wa Ubungo na TAZARA sasa Ilala na Mbagala wameondoka bila malalamiko, kwanini Kariakoo na Posta

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana JF,

Kama kuna kitu kinakera ni kuangushiana jumba bovu. Katika upanuzi za barabara za mwendokasi na madaraka, tumeshuhudia wafanyabiashara wengi wakipisha ujenzi bila shuruti kwa kuwa wanajua ni suala la muda tu wataondoka.

Watu hawa unatafuta sehemu ya kuamishia biashara zao bila usumbufu. Lakini imetokea serikali iliyopo kuonekana onevu wakati wa kupanga mji vizuri.

Kwanini walioumizwa muda mrefu kwa kupoteza mateja kutokana na kuzibiwa njia, kungolewa mabango yao wanayolipia kwa kutandazwa nguo, au kuzuia parking za wanaopakia vitu.

Kundi hili dogo la kiarifu linaitesa sana serikali eti kisa waende wapi, Serikali inatenga bajeti kila mwaka na kuchagua maeneo ya biashara wao hawataki kwenda, wapo kwa ajili yakumnyanganya mfanyabiashara halali.

Maduka mengi uvunjwa na magodown, machinga ndio wanunuzi wakuu wa bidhaa hizi ambazo hazina risit.

Kwa kuwaondoa hawa wanaleta sasa ushindani wa kweli. Acha tupate amani bwana tumesurubiwa muda mrefu.
 
Mbagala wameondoka sehemu gani, maana pale Rangitatu ilikuwa ni "mavi"! complete blockage of the road.
 
Mbagala wameondoka sehemu gani, maana pale Rangitatu ilikuwa ni "mavi"! complete blockage of the road.
Sehemu zote ambazo mwendokasi inapita wameondoka wenyewe na serikali haiangaiki pa kuwapeleka
 
Back
Top Bottom