dabluz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 2,456
- 1,672
Katika jambo ambalo sikuwahi kulijua ama kufikiria nikuwa, mwanamke anaweza kuwa nakipara. Nimeshaona wenye ndevu na garden love lakini kipara hapana, ila nilipigwa nabutwaa juzi kati baada ya ana kwa ana kumuona mama mtanashati akiwa nakipara chenye kung'aa vizuri kama vile aliekuwa waziri wa fedha Mh Mkulo.
Nilitaka nimpige picha lakini alinitolea macho ikabidi niingie mitini maana ingekuwa kesi.
Jaman kuna yeyote aliwahi kuona huko hii kitu?
Nilitaka nimpige picha lakini alinitolea macho ikabidi niingie mitini maana ingekuwa kesi.
Jaman kuna yeyote aliwahi kuona huko hii kitu?