under timer
JF-Expert Member
- Dec 25, 2021
- 389
- 595
nimemshangaa sana kwa kweliKama wewe sio mtaalam wa afya na sio mwanamama basi nyamaza na uendelee kunywa wanzuki yako,
Acha sisi tushukuru vifo vya wamama na watoto vilivyopungua.
❤️It...,uko very smart cute✌️Kama wewe sio mtaalam wa afya na sio mwanamama basi nyamaza na uendelee kunywa wanzuki yako,
Acha sisi tushukuru vifo vya wamama na watoto vilivyopungua.
Tatizo hii Nchi ujuaji mwinginimemshangaa sana kwa kweli
Siongelei vifo bali upasuaji usio wa lazma, nielewe tafadhaliKama wewe sio mtaalam wa afya na sio mwanamama basi nyamaza na uendelee kunywa wanzuki yako,
Acha sisi tushukuru vifo vya wamama na watoto vilivyopunsi
Thank u boo [emoji847][emoji3590]It...,uko very smart cute[emoji3577]
🙏🏽🙏🏽Thank u boo [emoji847]
Kwahiyo shida ni wanzuki sio?Kama wewe sio mtaalam wa afya na sio mwanamama basi nyamaza na uendelee kunywa wanzuki yako,
Acha sisi tushukuru vifo vya wamama na watoto vilivyopungua.
peleka ushuzi uko!Hat
Siongelei vifo bali upasuaji usio wa lazma, nielewe tafadhali
Kabisaa watu wanajikuta wajuajiKama wewe sio mtaalam wa afya na sio mwanamama basi nyamaza na uendelee kunywa wanzuki yako,
Acha sisi tushukuru vifo vya wamama na watoto vilivyopungua.
So usingle mother umeusikaje na madaWengi ni single mother
Kwahiyo shida ni wanzuki sio?
Nashukulu sana kwa kunijuza hilo ila sasa ukitafakali zaidi aisee hasara ni kubwa hapo badae ila ni hapo badaeZipo sababu nyingi zinapelekea upasuaji kwa wajawazito iwe kama huduma ya kwanza.
1. mabadiliko ya kimfumo wa maisha inayopeleka wajawazito kuishi maisha "legelege" hivyo kutokua na nguvu za kutosha kusukuma mtoto
2. serikali ineweka presha kubwa sana kwa wakunga na madakrari kiasi cha kuua zile skills za kumsaidia mjamzito ajifungue bila upasuaji.
3 na mwisho, wakunga wanaozalishwa mavyuoni siku hizi pia wamekua hawana ujuzi wa kutosha, wanafika kazini wanapewa na majukumu mengine meeengi kiasi hadi kazi ya ukunga inakua kama ziada jumlisha maisha binafsi mikopo vikoba na michango inayowaandama wanajikuta hawataki tabu
Ukifika, umekaa masaa 12 hujajifungua ni upasuaji tu^^^
Karibuni Gauteng
Baba Nla