KERO Upasuaji kwa wajawazito imekuwa kama lazima, ni kero kubwa

KERO Upasuaji kwa wajawazito imekuwa kama lazima, ni kero kubwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Huwa haifanyiki tu bila.sababu , kuhatarisha afya ya mama na mtoto sio vizuri ndio maana tukiona dalili sio nzuri ni bora uende na njia iliosalama zaidi kuliko kubeti, Halafu wamama.wengi hususani hawa prime ni wavivu mno wakati wa ujauzito hawachukui mazoezi ni uvivu tu ikija hatua ya kujifungua ndio balaaa lake mkunga unajikuta hadi jasho linakutoka wakati wa kumsaidia kujifungua.
Balikiwa kam uko sehemu ya kukuhakikisha mjamzito anajifungua salama
 
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu.

Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu sawa., kwa kuwa mnapata posho na uzoefu pia ila madhara ni makubwa kwa wamama majumbani kwao.

UZOEFU WA UPASUAJI KWA MTU ASIYEHITAJI KUPASULIWA HII SIO HAKI KABISA.
Kila operation kuna commission au cha juu kwa madakitari, hivyo akiwa na cha juu mfano laki moja akifanya kumi ana Milion yake moja kwa mwezi, zikiwa 30 ana mil 3 etc.

Huu ni mchezo unaochezwa upande huo. Upande mwingine ni ulegelege wa washika mimba. Unakuta mshika mimba ni mtu wa kula chipsi, hana mazoezi anaona mazoezi ni utumwa, ana deka hali vizuri.

Unapofika wakati wa kujifungua njia haipo na hana nguvu za kusukuma. Wengine ndiyo hivyo tundu lilishatobolewa na vijana wa mtaani upepo tu na vinyesi kibao so soluhisho ni operatio
 
Kila operation kuna commission au cha juu kwa madakitari, hivyo akiwa na cha juu mfano laki moja akifanya kumi ana Milion yake moja kwa mwezi, zikiwa 30 ana mil 3 etc.....
Inaumiza sana kwa huo udhaifu wa pande zote mbili
 
Sababu zake ni TANO:-

. Upasuaji ni biashara, so madaktari wanashauri upasuaji kwa malengo ya kifedha zaidi.

. Wanawake wengi wanaogopa ku push. Wanahofia maumivu ya kuchanika.

. Wanawake wanajua kuzaa bila njia ya kawaida kunafanya K zao ziwe tight, zisiperepete,

. Wanawake wanatumiwa njia ya nyuma kungonoka. Hivyo wanajua Hawataweza kupush kwa kawaida maana nyuma kutakuwa kumelegea

. Zipo sababu za ki afya pia Ili hizo ni chache sana.
Duuu, Ebhanaae🙄🙄
 
Kama wewe sio mtaalam wa afya na sio mwanamama basi nyamaza na uendelee kunywa wanzuki yako,

Acha sisi tushukuru vifo vya wamama na watoto vilivyopungua.
Kwahiyo kujifungua mpaka kisu? Kuna siri nyingi nyuma ya wadada kutaka kujifungua kwa operation! Wengi hawana marinda kwa kuingiliwa kinyume na maumbile ya kwamba wakisukuma pressure inatoa "nnya" badala ya mtoto! Wengine hawataki kusikia maumivu/uchungu! Wengine tamaa ya hela ya operation, n.k! Hata hivyo operation sio nzuri kama unategemea kuzaa zaidi ya mara moja! Pia ulifanya tumbo kuwa kubwa! Tatu alama ya mshono uondoa mvuto wa mwonekano wa mwanamke!
 
Kwahiyo kujifungua mpaka kisu? Kuna siri nyingi nyuma ya wadada kutaka kujifungua kwa operation! Wengi hawana marinda kwa kuungiliwa kinyume na maumbile ya kwamba wakisukuma pressure inatoa "nnya" badala ya mtoto! Wengine hawataki kusikia maumivu/uchungu! Wengine tamaa ya hela ya operation, n.k! Hata hivyo operation sio nzuri kama unategemea kuzaa zaidi ya mara moja! Pia ulifanya tumbo kuwa kubwa! Tatu alama ya mshono uondoa mvuto wa mwonekano wa mwanamke!
Watu hawaelewi mkuu wao wanachojua ni maokoto tu hizo hasara haziwahusu daaah
 
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu.

Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu sawa., kwa kuwa mnapata posho na uzoefu pia ila madhara ni makubwa kwa wamama majumbani kwao.

UZOEFU WA UPASUAJI KWA MTU ASIYEHITAJI KUPASULIWA HII SIO HAKI KABISA.
Kwangu mimi hii post yako inaweza kuwa Post bora ya mwaka huu. Umeandika jambo la muhimu sana, sikuhizi imekuwa ni kawaida Wanawake kujifungua kwa U
Operations

Kwanza ni kwasababu wanaofanya Upasuaji wanatengeneza pesa

Pili, kuna wanafunzi hapo wanatafutiwa Sample ya kufanyia Operation na sample yenyewe ni Mwanamke so wale Wanachuo wanajifunzia hapo

Serikali ilikemee hili jambo, imekuwa too much
 
Hongera sana kwa kulitambua hilo mkuu
 
Back
Top Bottom