Haya mambo hayakuwepo zamani yamekuja siku hizi,mtu anaangalia picha za ngono,watu mle wanatumia madawa,wana mitalimbo ya ajabu,ukijiangalia unakuta huwafikii hata robo,psychologically unajikuta unataka kutumia dawa pia ukuze mtalimbo.Tatizo hizi picha za ngono zimewaharibu sana vijana.
Pole mkuu, kwa unavyojieleza inaonesha nawe ni MHANGA.Nipo tayari kuacha majukum ya Leo nifuatilie huu Uzi majibu na maswali labda kunaufumbuzi utapatikana
Mm sio mhanga maana maeneo yote niliyopita nimepafom above standardPole mkuu, kwa unavyojieleza inaonesha nawe ni MHANGA.
Hiki ndicho ninachokiona my dear...Huku kutaka maumbile makubwa kumeibuka miaka ya hivi karibuni hivi hii
haitokani na dawa za uzazi wa mpango ambazo tunatumia wanawake kweli kuwa
zinatuharibu mpaka tunaona tatizo lipo kwa wanaume kumbe ni tatizo letu?
Pole mkuu, kwa unavyojieleza inaonesha nawe ni MHANGA.
Ifike mahali wanaume wajiamini kuwa vyovyote walivyoumbwa wako perfect.Mmh. Mi sionagi sababu ya watu kuukosoa uumbaji wa muumba.
Na hizo surgery huenda zikawa zinatibu tatizo ila ikawa kwa muda tu baada ya hapo hali inaweza kurudi kama zamani au kuwa mbaya zaidi ya mwanzo.
Pia niseme huyo mwanaume hajitambui sababu mwisho wa siku jogoo asipowika huyo huyo mwanamke aliyekuwa mstari wa mbele kumpeleka huko ndio atakuwa wa kwanza kumkimbia na kutafuta mwenye jogoo anayewika.
Hapo chacha...Kwanini huyo mkewe asiende yeye kuupunguza huo uke wake