SawaIfike mahali wanaume wajiamini kuwa vyovyote walivyoumbwa wako perfect.
Wengine wanakazana na ku massage kwa mitishamba kwa sababu kuna kiumbe kamwambia yeye ni kibamia. Akipata madhara huyo mwanamke atakuwa wa kwanza kumcheka.
Nimeipenda point yako kuwa hakuna sababu ya kukosoa uumbaji wa Mungu. Kila mmoja alivyoumbwa ndivyo ilimpasa awe hivyo. Turidhike.
Hahaha...yani umeweka 'signature'kwamba na wewe umepita eeh?Sawa
Kweli kabisa usemalo mwaya.Ifike mahali wanaume wajiamini kuwa vyovyote walivyoumbwa wako perfect.
Wengine wanakazana na ku massage kwa mitishamba kwa sababu kuna kiumbe kamwambia yeye ni kibamia. Akipata madhara huyo mwanamke atakuwa wa kwanza kumcheka.
Nimeipenda point yako kuwa hakuna sababu ya kukosoa uumbaji wa Mungu. Kila mmoja alivyoumbwa ndivyo ilimpasa awe hivyo. Turidhike.
Kwani sikuhizi hapo magogoni hauna wasaidizi ?Nipo tayari kuacha majukum ya Leo nifuatilie huu Uzi majibu na maswali labda kunaufumbuzi utapatikana
Nashukuru kunitabiria mema maana magogon ni sehem nzri sana huoni jiwe anavyopendeza