Upasuaji wa kwanza wa kuhamisha kichwa kufanyika

Upasuaji wa kwanza wa kuhamisha kichwa kufanyika

Cheki hii nyingine,mfanyakazi alikatika kiganja kiwandani ukahifadhiwa hapo then wakaurudisha.
 

Attachments

  • 1437721379621.jpg
    1437721379621.jpg
    14.8 KB · Views: 120
Kazi IPO Ben Carso ye alitenganisha Mapacha ....!
Ikawezekana
 
Duh! Hii ngumu kumeza, inahitaji ujasiri uliopitiliza kujitolea kufanyiwa jaribio hili.
 
Mungu akiniweka hai.....ningependa kuiondoa kuuaminisha Ubongo na fikra nilizonazo kichwani mwangu...

Niweze kuamini kuwa kile kinachoitwa roho hakikai baina ya Kichwa na Kiwiliwili...

Nimekuwa nikiamini kwa 100% kuwa hakuna maisha baada ya kutenganisha kichwa na mwili....

Mungu aniwezeshe niwe moja ya Shuhuda katika oparesheni hii...
 
Nasubiri kuona kichwa cha Makonda atapewa nani?
 
Back
Top Bottom