Upasuaji wa ubongo mgonjwa akiwa macho wafanyika kwa mara ya kwanza Kenya

Upasuaji wa ubongo mgonjwa akiwa macho wafanyika kwa mara ya kwanza Kenya

Sisi watu wapenda good governance,ubunifu,rule of law,maendeleo,etc tukija hapa tukasema "good job done Kenya" kuna mavichaa hapa Bongo yataanza kutuita nyie "Wakenya",mbuzi kabisa hizi mbwa!

Sijui lini yatakua na akili aisee
Bro, mbona hii nchi yako hukupa pressure hivyo 😅
Ipo siku mambo yatakuwa poa.
 
Great stuff this is, siyo kila siku Tanzania this Kenya that. It's nonsense. Sisi ni ndugu wa damu kabisa tena si wa kuomba but true nduguz. Big up Kenya.
 
Madaktari wa upasuaji wanategemea mchakato wa kipekee a upasuaji unaomfanya mgonjwa awe macho, ambao bado ni hatari, lakini unaweza kuleta matokeo bora na kupunguza hatari ya jeraha katika ubongo.

Hapa ndio sijaelewa vizuri, inakuaje mgonjwa akiwa macho ipunguze hatari ya jeraha?

Hongereni majirani
 
Back
Top Bottom