Bro, mbona hii nchi yako hukupa pressure hivyo 😅Sisi watu wapenda good governance,ubunifu,rule of law,maendeleo,etc tukija hapa tukasema "good job done Kenya" kuna mavichaa hapa Bongo yataanza kutuita nyie "Wakenya",mbuzi kabisa hizi mbwa!
Sijui lini yatakua na akili aisee
Madaktari wa upasuaji wanategemea mchakato wa kipekee a upasuaji unaomfanya mgonjwa awe macho, ambao bado ni hatari, lakini unaweza kuleta matokeo bora na kupunguza hatari ya jeraha katika ubongo.
This is not an ordinary brain surgery Methuselah. Underline the word "mgonjwa akiwa macho".laggards as usual, such operations have been conducted since 2019!