Upatikanaji wa biadha hiz

CHIKITITA

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
445
Reaction score
158
Naomba anayejua namna ninavyoweza kupata rasta za aina zote kwa bei ya kiwandani, weaving na peds za aina mbal mbal pia wapi naweza kupata nguo za watoto za spesho kwa bei ya jumla baby diapers na vifaa vinginevyo vya watoto. samahan nataka kufungua biashara moja wapo kati ya hiz mbil, anayejua msaada please!
 

Jaribu kumtafuta huyu mwananchi hii hapa thread yake kwa masuala ya nguo basi anaweza kukusaidia
https://www.jamiiforums.com/matanga...ka-kuagiza-nguo-kutoka-nje-4.html#post9429113
 
Mkuu huyu nimemsoma ila nilihitaji za kawaida zinazopatika hapa kwanza wakati naangalia namna yakuagiza nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…