CHIKITITA
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 445
- 158
Naomba anayejua namna ninavyoweza kupata rasta za aina zote kwa bei ya kiwandani, weaving na peds za aina mbal mbal pia wapi naweza kupata nguo za watoto za spesho kwa bei ya jumla baby diapers na vifaa vinginevyo vya watoto. samahan nataka kufungua biashara moja wapo kati ya hiz mbil, anayejua msaada please!