peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nimefika bank Moja nchini kubwa kununua USD 10,000 Kwa ajili ya kukununulia gari nchini Japan.
Nilichkokutana nacho ni kuuziwa USD 500 tu!
Kuna shida ya USD nchini na BOT wamepiga kimya!
Kibao cha kuonyesha exchange rate Kiko na kimeandika bei ya USD Kwa siku hiyo ila no USD,,!
Ni nini msimamo au kauli ya serikali ya TANZANIA kuhusuana na jambo hili?