peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nilienda NMB eti wananiambia kufanya transaction mwisho $1000 kwa siku. Au niwaombe wabadirishe currency ya kuuziaga gari labda itoke $ iwe Yuan sijui. Imabidi nikalipie Beforward. Wao wanaongezea karibia Tsh 150 kwenye kila $ 1. Niliumia sana.Hivi huwa unanunua dollar kwa ajili ya kununua garo Japan? Au ni swift tu (transactions)
Swift kivipi mkuuHivi huwa unanunua dollar kwa ajili ya kununua garo Japan? Au ni swift tu (transactions)
Swift kivipi mkuu
Wanafanya maksudi. Nikiteseka sana siku ile na nilirisk sana.Hapa tunatakiwa tushauriane kwa kina
Watu wameficha bilions of money in usd kwa ajili ya uchaguzi halafu hao hao useme watatue tatizo la kukosekana dolari hilo haliwezekani ujue.Nilienda NMB eti wananiambia kufanya transaction mwisho $1000 kwa siku. Au niwaombe wabadirishe currency ya kuuziaga gari labda itoke $ iwe Yuan sijui. Imabidi nikalipie Beforward. Wao wanaongezea karibia Tsh 150 kwenye kila $ 1. Niliumia sana.
Swift ni mtandao wa kutuma pesa kibenki duniani. Ukinunua gari Japan wanataka uwatumie dolla. Sasa benki zetu au benki kuu haina dolla za kutosha kwenye account zao na mabenki makuu ya kimataifa. Kwa hiyo wanakwambia hatuna dollarHivi huwa unanunua dollar kwa ajili ya kununua garo Japan? Au ni swift tu (transactions)