the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
ameuliza wanapopatikana sio picha
Dodomaameuliza wanapopatikana sio picha
Ni mzoedu kwenye kununua minadani??Dumila na gairo morogoro wapo wengi sana ktk minada
Yes ila inabidi uwe sungura unapokuwa mnadani kwan kwani mkulima akitua tuu na tenga madalali haraka sana wanamgombania kama zinavogombaniwa gari za mbagala pale mnazi mmoja na ww inabidi ufanye kama wao usimuangalie mtu usoni wakiona hivyo tuu wanakuheshimu wanajua na ww vurugu unaziwezaNi mzoedu kwenye kununua minadani??