the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
Mimi nipo dar es salaam Ningependa kuuliza mambo kadhaa kuhusu kuku wa kienyeji na upatikanaji wake kwa mkoa wa singida kwasababu nmesikia wanapatikana huko kwa bei nzuri.
Ila pia hata ikitokea mkoa wowote ambao si mbali na dsm kwa bei nzur pia sio mbaya.
Karibuni wakuu nasubiria mrejesho wenu.
Ila pia hata ikitokea mkoa wowote ambao si mbali na dsm kwa bei nzur pia sio mbaya.
Karibuni wakuu nasubiria mrejesho wenu.