Upatikanaji wa leseni baada ya kusajili kampuni

TIN kwanza, then mkataba wa pango! nenda manispaa husika! utapata leseni!
 
TIN kwanza, then mkataba wa pango! nenda manispaa husika! utapata leseni!
Sawa tin ninayo lakini kupitia jina la kampuni yangu nipate leseni ya biashara inayoonyesha kampuni yangu inadeal vitu gani mfano kampuni yangu inaitwa MIALE UNIT company limited hapa haijataja na deal na vitu gani sasa nataka leseni inayotaja moja kwa moja nafanyaje barudi brela au?
 
Ile memorandum ina kazi zaidi ya mia moja, sasa unachotakiwa kufanya ni kuwaeleza hapo manispaaa au halmashauri leseni yako unataka ajili ya nini. Then utaambiwa gharama, sababu gharama zinatofautiana kulingana na sina ya kazi.
 
Ahsante sana@robert kwa ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…