Godfrey freedoman
New Member
- Aug 14, 2015
- 4
- 0
Naomba msaada namna gani natakiwa kufanya ili nipate leseni baada ya kusakusajili kampuni brela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tin ninayo lakini kupitia jina la kampuni yangu nipate leseni ya biashara inayoonyesha kampuni yangu inadeal vitu gani mfano kampuni yangu inaitwa MIALE UNIT company limited hapa haijataja na deal na vitu gani sasa nataka leseni inayotaja moja kwa moja nafanyaje barudi brela au?TIN kwanza, then mkataba wa pango! nenda manispaa husika! utapata leseni!
Ahsante sana@robert kwa ushauri wakoIle memorandum ina kazi zaidi ya mia moja, sasa unachotakiwa kufanya ni kuwaeleza hapo manispaaa au halmashauri leseni yako unataka ajili ya nini. Then utaambiwa gharama, sababu gharama zinatofautiana kulingana na sina ya kazi.