Upatikanaji wa leseni ya biashara halmashauri ya wilaya ya Nyasa imekuwa ni tatizo

kasomi hezron

New Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Kumekuwa na usumbufu mwingi namna ya kupata leseni ya biashara kwa njia ya mtandao yaani TAUSI PORTAL, hawatoi control number Kwa ajili ya kufanya malipo, ukiomba wana reject na wanapiga simu wakidai uende na hela halmashauri ukalipie, ni usumbufu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…