luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,986
Yah hali ndio ipo hivyo mm tangu asubuhi napita vituoni kuthibitishiwa ila hao wanao thibitisha naambiwa hawapo nimetoka màwasiliano pale now naenda kawe ...yaan kweli Tz hatujui maana ya online systemKama mambo ni hivyo basi hali ni mbaya!
Tumia kitambulisho cha NIDAJeshi la polisi lilijinasibu limehamia ktk teknolojia hususani ktk huduma kadhaa ikiwemo upatikanaji wa taarifa ya kupotea kitu.
Ideally matumizi ya system ni excellent sababu inaokoa muda LKN siku za hivi karibuni upatikanaj wa huduma hiyo ni kero
Unaweza ukajaza taarifa online then ukaitajika kuthibitisha hiyo report kazi inakuja upatikanaji wa hao wanaothibitisha report
Wao wana kwambia ukajaze formu online then wao wana thibitishaa tuKma inasumbua bora uend ktuon ukafungue taarifa wakupe loss report wenyewe