Habari kwenu wanajf,,,naomba niende kweye mada kama inavyojieleza.Nina wazo ka kufungua kibanda kwa ajili ya kuuza madaftari jumla na rejareja mkoani.Ombi langu ni kutaka kujua kwa mliopo humu na mna taarifa ni wapi kwa Dar es Salaam naweza pata madaftari màkubwa na madogo kwa bei nzuri ya jumla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app