Upatikanaji wa madaftari kwa bei za jumla

mkoha

Member
Joined
May 24, 2018
Posts
62
Reaction score
53
Habari kwenu wanajf,,,naomba niende kweye mada kama inavyojieleza.Nina wazo ka kufungua kibanda kwa ajili ya kuuza madaftari jumla na rejareja mkoani.Ombi langu ni kutaka kujua kwa mliopo humu na mna taarifa ni wapi kwa Dar es Salaam naweza pata madaftari màkubwa na madogo kwa bei nzuri ya jumla?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda soko la Kariakoo shimoni ulizia duka la TASHEEF kama sikosei unapewa hadi na risiti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…