Upatikanaji wa Mashine za Kupandia Mpunga

Upatikanaji wa Mashine za Kupandia Mpunga

lumbagengata

Member
Joined
May 16, 2011
Posts
27
Reaction score
2
Habari wana JF,
Naombeni Taariafa juu ya Upatikanaji wa Mashine hizi za upandaji Mpunga hapa Tanzania kwa mwenye taarifa.
Kwani nimejaribu kufuatilia sijafanikiwa. Kwani nafanya Kilimo hichi Iringa Pawaga,lakini moja ya tatizo kubwa ni namna ya upandaji.
Mchango wenu wana jf wenye kuleta mafanikio.
Ahsante Nawasilisha Wadau.
 
Back
Top Bottom