Mdogo wangu ebu tulia kwanza, notices utazikuta chuo tena zmejaa mpaka kero. Chuo hamnaga tuition asee, subiri ufungue ukalambe ya moto wala usihangaike huku mitandaon maana utapanic bure. All in all ukifungua ukajtaid kusoma maana ukcheza wanakuchkua.