M Mugaisha Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6 Reaction score 1 Sep 25, 2019 #1 Jamani kwa wakazi wa Bukoba na wageni.. hapawezi kupatikana madalali wanaoaminika wenye ofisi kwa ajili ya uuzaji wa mayai na nyama ya kuku hata
Jamani kwa wakazi wa Bukoba na wageni.. hapawezi kupatikana madalali wanaoaminika wenye ofisi kwa ajili ya uuzaji wa mayai na nyama ya kuku hata
Niccolo Machiavelli JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,881 Reaction score 3,647 Sep 26, 2019 #2 Mbona mashule mengi huko.....si uende uombe kuwa supply mayai atleast mara moja kwa wiki
instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,037 Reaction score 17,212 Sep 26, 2019 #3 Kuna shule nyingi Sana bukoba. Omba tenda kwenye shule mojawapo