Upatikanaji wa soko la mayai na nyama ya kuku Bukoba

Upatikanaji wa soko la mayai na nyama ya kuku Bukoba

Mugaisha

Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Jamani kwa wakazi wa Bukoba na wageni.. hapawezi kupatikana madalali wanaoaminika wenye ofisi kwa ajili ya uuzaji wa mayai na nyama ya kuku hata
 
Kuna shule nyingi Sana bukoba.

Omba tenda kwenye shule mojawapo
 
Back
Top Bottom