UPATIKANAJI wa Vyombo vya Ndani Vya Mtumba (Dar es salaam)

Seadon1

New Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Habari zenu wana Jamii F. Naomba msaada kwa yoyote anayejua wapi wanauza vyombo vya ndani vya mtumba(masufuria, sahani, vikombe, urembo etc.
Natanguliza shukran
 
Nenda kariakoo karibu na hospitali ya gerezani
 
Back
Top Bottom