Upatikani Viatu na Mikoba ya Kike nchini Uganda


Mkuu kama unahitaji mikoba safi kwa jumla tuwasiane tufanye biashara ni mizuri unaweza kunipm nikutumie kwa whatsapp.
 
Upo sehem gani mkuu ili nijue urahisi wa usafirishaji #Kurunzi
 
Mkuu kama unahitaji mikoba safi kwa jumla tuwasiane tufanye biashara ni mizuri unaweza kunipm nikutumie kwa whatsapp.
PM ya nini tena wengine watajuaje ! kuna siri gani hapo!
 
Ok fanya ivo kiongozi wang
 
Nimetokea Kampala Uganda leo. Nikiwa huko nimehangaika kutafuta mikoba ya kike hadi nimechoka, kila duka ninaloingia naona bei ni kubwa kuliko Tanzania. Bei yao ina varry kutoka UGsh120,000 hadi 200,000. Sh.1 ya Tanzania ni sawa na UGsh5. Kwa hiyo ni kama sh60,000 hadi 100,000 ya TZ. Wakati mikoba hiyo hapa Dar unapata kwa 50,000 na kuendelea.
Sijui lakini, labda kama kuna mahali wanapouza bei za chini sikupajua.
 
Pole kiongozi,vipi viatu vya kike # kidamva
 
Mkuu nimekumbana sana na matapeli kwa kuweka no adharani anyway nitaweka picha ya sample nilizonazo hapa
Hata ukificha namba ni kazi bure tutakupata tu kupitia pm.
 
Biashara hiyo ongoza china mjomba uganda wenyewe wanachukua china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…